Latest News

TANGAZO KWA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI OMAN KUHUSU PASIPOTI MPYA ZA AFRIKA MASHARIKI: UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN UNAPENDA KUWATAARIFU WATANZANIA WANAOISHI NCHINI OMAN KUWA UTARATIBU WA KUTOA PASIPOTI MPYA ZA AFRIKA MASHARIKI HAUJAANZA KUFANYIKA HAPA UBALOZINI. KWA WAKATI HUU TUNAWAOMBA MUENDELEE KUVUTA SUBIRA WAKATI SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA INAENDELEA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA KUFUNGA VITENDEA KAZI VYA KUWEZESHA OFISI ZAKE ZA KIBALOZI KUANZA KUPOKEA MAOMBI YA PASIPOTI MPYA ZA AFRIKA YA MASHARIKI.

More>>

Karibu - Welcome!

The Embassy of the United Republic of Tanzania in the Sultanate of Oman welcomes you to our Official Website. Here you will find information about Trade, Investment, Visa and Consular matters, tourism, embassy activities and much more. We hope you will find our website informative and helpful. Please do not hesitate to contact us. We are here to serve you. KARIBUNI SANA.